Tuesday, August 14, 2012

KARIBU NEEMA PRODUCTS

KARIBU  NEEMA  PRODUCTS ( Zamani  Neema  Herbalist  )  ni  wauzaji  wa  bidhaa  mbalimbali  za  asili  kama  vile  dawa   za  asili  za  kutibu  magonjwa  na  matatizo  mbalimbali  mfano  dawa  ya  asili  ya  kundoa  mafuta  mwilini, kuondoa  kitambi, kuongeza  nguvu  za  kiume, kuongeza  askhi  ya  tendo  la  ndoa  kwa wanawake,  kupunguza  sukari  , kuondoa  sumu  mwilini,  kuondoa  chunusi,  kulainisha  ngozi, kuondoa  uvimbe  wa  tumbo  n.k.  Mbali  na  bidhaa  za  dawa  tunazo  pia bidhaa  nyingine  ambazo  zimetengenezwa  kwa  njia  ya  asili  ya  kama   vile,  sabuni,  mafuta  ya  kujipaka,  chaki,  viatu  vya  ngozi, nguo   za  aina  tofauti  tofauti    nakadhalika.
Bidhaa  zetu  zote  (  hasa  zile  zinazo  tumika  kama  dawa  )  zimetengenezwa  kwa  njia  ya  asili  na  hazija  ongezewa  kemikali  ya  aina  yoyote  ile,  hivyo  wewe  mtumiaji  wa  bidhaa  zetu, (  bidhaa  za  dawa  ) kuwa  na  uhakika  kabisa  kwamba  unatumia  dawa  za  asili  ambazo  ni  rafiki     kwa  afya  yako.   KARIBUNI   SANA  NEEMA .  PRODUCTS

5 comments:

  1. Nahitaji mbegu za maboga zinapatikana wapi

    ReplyDelete
  2. Dawa zenu ni nzuri ila mumtangulize Mungu mnapozitengeneza na kuziandaa kwavile ninyi mnatibu lakini Mungu ndiye anayeponya.

    ReplyDelete
  3. hello..mm nahitaji dawa lishe naweza kuipata vipi na maelezo yake kwa kina?

    ReplyDelete
  4. Nahitaji ya nguvu za kiume
    Nipo zanzibar
    E

    ReplyDelete